Ushauri Kuhusu Vifaa Tiba

Wengi wa wanafunzi wapya hununua vifaa visivyohitajika na vyenye ubra duni! Licha ya kupata MAELEKEZO kutoka kwenye vyuoni kuhusu vifaa vinavyohitajika,  kwasababu ya Ugeni, wanafunzi wengi wapya na walezi wao wamekuwa wakipata changamoto ya vifaa vipi wanunue (kulingana na ubora) na wapi wanunue. Pia, huwa hawapati taarifa muhimu wakati wanapoamua kununua vifaa hivi kutoka kwa kampuni yeyote.  

Makala Zingine Muhimu

Shopping Cart
Muulize Dr. Adinan
1
Muulize Dr. Adinan
Chat na Dr. Adinan
Hello 👋.
Ungependa kuuliza nini kuhusu Buying Medical Devices A guide to Students?
Mimi ni Dr. Adinan