fbpx

Shinikizo la juu La damu (Presha)

KUWA NA BP MACHINE HUSAIDIA KUDHIBITI PRESHA NA KUEPUKA MADHARA YAKE!:

Mmoja Kati ya watu wanne wenye Umri wa miaka 30 na zaidi wana shinikizo la juu la damu (Presha). Lakini, 90  kati ya watu 100 wenye presha HAWAJUI KAMA WANA PRESHA. Na HUFA na presha bila kujijua. 

Soma zaidi….

Kipimo cha Presha

Faida Ya Kuwa Na Machine Ya Presha

Kuna Njia moja tu ya kuweza kutambua kama unashinikizo la juu la damu: kujipima tu!

Je, unafahamu ugonjwa wa shinikizo la juu la damu, presha, unaitwa muuaji wa kimya-kimya kwa kuwa wengi wamefariki kutokana na ugonjwa huu bila kufahamu walikuwa wakiugua.

Kwa ambao hawakufa wamekuwa wakipata madhara ya ugongwa huu: kiharusi, matatizo ya moyo, figo na kutokuona nk. 

BP

Epuka Madhara Ya Presha

Tafiti zinaonesha kwamba watu wanaokuwa na Machine ya kupima presha huwa na unafuu wa kupata madhara yatokanayo na presha ukilinganisha na wasiokuwa nayo

Antihypertensive-Drugs-Market

Fahamu Kama Tiba Inafanya Kazi

Kama ni Mgonjwa na Unatumia dawa, Njia nzuri ya kufahamu kama TIBA INAFANYA KAZI NI KUANGALIA KAMA PRESHA INAPUNGUA.

systolic-and-diastolic-blood-pressure-1746075-01-4f002165f49646d08ca287995c2af55e

Kutambua hali Mapema

Ukiutambua ugonjwa huu MAPEMA utaweza KUUDHIBITI wenyewe pamoja na madhara yake.
KUTAMBUA MAPEMA hupelekea matokeo Mazuri ya Tiba

Jipime Mwenyewe Kwa UHURU Nyumbani

FAIDA zote utazipata UKIWA NYUMBANI. Huna haja ya kulipa tena NAULI kwa ajili ya KWENDA kupima Presha Hospitali au kwingineko

Maswali Tuliyoulizwa Sana

Tafadahali rejea maswali ambayo tumekuwa tukiulizwa mara kwa mara na wateja wetu. Ni muhimu kurejea maswali haya kwakuwa huwenda yakakupa ufahamu zaidi au kujibu swali lako  ikitokea nawe ulikuwa na swali kama hilo.

Nakipataje Nikihitaji?

1-Wasiliana Nasi upewe maelekezo ya Kulipia (Utaamua kulipa KABLA ama BAADA YA KUPOKEA MZIGO WAKO); 2-Utaelekezwa namana ya kuweka order; 3- Utajadiliana namna ya Kutumiwa na Kuupokea Mzigo wako. Tunasafirisha nchi nzima!

Mko wapi?

Tuko Moshi Kilimanjaro. Kwa kujali Wateja wetu walioko kote nchini, tuna agents Arusha, Dodoma, Dar es salaam, Mwanza na Zanzibar. Kwa kujali wateja wetu, Tunasambaza vifaa vyetu nchi nzima na nchi jirani.

Bei Gani?

Pata mashine yako LEO KWA BEI YA OFFER 99,000/= badala ya 120,000/=

Walioko Mikoani wanakipataje ?

Tunasafirisha popote Tanzania ndani ya saa 24! Hii ni kama uko mikoa ambayo hatuna agents. 

Mashine zote zina Guarantee ya MWAKA MMOJA

tambua hali yako ya preshaSASA

Kuweka Order Yako

Shopping Cart
Muulize Dr. Adinan
1
Muulize Dr. Adinan
Chat na Dr. Adinan
Hello 👋.
Ungependa kuuliza nini kuhusu Automatic BP Machine Arm Offer?
Mimi ni Dr. Adinan