fbpx

Kiharusi: Ugonjwa Hatari Unaoathiri Ubongo

Kiharusi ni ugonjwa hatari unaotokea ghafla na unaweza kuathiri mtu yeyote, bila kujali umri au jinsia. Ugonjwa huu unaweza kusababisha madhara makubwa kwa afya ya mtu na hata kusababisha kifo. Ni muhimu kuelewa kuhusu kiharusi, sababu zake, dalili zake, na jinsi ya kujikinga na ugonjwa huu hatari. Kiharusi: Ugonjwa Hatari Unaopaswa Kuchukuliwa Kwa Uzito Katika

Read More »

Uhusiano wa Kifua Kikuu na Kisukari

Kifua kikuu na ugonjwa wa kisukari yana mahusiano. Hivi juzi nilikutana na rafiki yangu mmoja ambaye alinihadithia kwamba hatukuonana muda mrefu kwasababu alikuwa akiugua kifua kikuu. Huwa najua ana kisukari. Aliniambia alikuwa akisumbuliwa na dalili mbalimbali za TB ila yeye alifikiri ni dalili za kisuakri. Hadithi yake fupi ikanifanya nione umuhimu wa kuelimisa uma kuhusu

Read More »

Madhara ya kisukari: Kinywa na Meno

Madhara ya Kisukari: Kinywa na Meno Ugonjwa wa Kisukari husababisha kiwango cha sukari kuwepo kwa wingi katika damu na hivyo katika mate yako. Bakteria walioko mdomoni hutumia sukari hii kama chakula. Kwa hiyo bakteria hukuwa na kustawi zaidi katika mazingira yenye sukari.  Bakteria hawa husababisha meno kuoza na kutoboka. Na kama hujapata tiba haraka unaweza

Read More »

Fahamu Kisukari Kinavyosababisha Ugonjwa wa Moyo

Ukubwa wa tatizo la Magonjwa ya Moyo  Watu Milioni 18 hufariki kwa magonjwa ya moyo kila mwaka, hizi ni takwimu za shirika la Afya duniani (WHO).  Ni moja ya magonjwa machache ambayo yanendelea kuwa na hatua mbaya kadiri siku zinavyokwenda.   Kisukari kinakuweka kwenye hatari ya uwezekano wa kupata magonjwa ya moyo kuliko. Kadiri muda

Read More »

Madhara ya kisukari: Uharibifu wa mishipa ya fahamu

Kisukari huathiri mishipa ya fahamu. Hatahivyo unaweza kuepuka kwa kufanya yaliyoshauriwa kwenye makala haya. Kisukari huweza kuleta uharibifu wa aina nne kwenye mishipa ya fahamu. Unaweza kuwa na aina zaidi ya moja. Dalili hutegemea aina ya uharibifu na mshipa wa fahamu ulioathiriwa.    Mfumo wa mishipa ya fahamu: Aina za Mishipa Ya Fahamu   Mishipa

Read More »
Shopping Cart
Muulize Dr. Adinan
1
Muulize Dr. Adinan
Chat na Dr. Adinan
Hello 👋.
Ungependa kuuliza nini kuhusu Madhara?
Mimi ni Dr. Adinan