fbpx

fuatilia. dhibiti. furahia maisha

furahia maisha

Anza safari ya kuelekea Afya bora kwa kuwa na

  1. Elimu sahihi

  2. Usaidizi wa moja kwa moja, na

  3. Vifaa tiba muhimu kufuatilia afya yako nyumbani.

Jiunge PreshaPlan Sasa!

Previous slide
Next slide

Fahamu

Tsh29900
Tsh 9,900 Kwa Mwaka
  • Ushauri wa Wiki kwa simu au ujumbe wa WhatsApp
  • Kuunganishwa kwenye Jukwaa la mtandaoni.
  • Kusoma makala zote kuhusu kisukari na presha na magonjwa mengine kwenye tovuti ya AFYATech
  • *Vipimo muhimu kufuatilia na kudhibiti kisukari ukiwa nyumbani kwa bei ya punguzo

Fanya

TSh.49900
TSh. 24,900 Kwa Mwezi
  • Huduma zote kwenye mpango wa Fahamu, na
  • Uchambuzi wa vyakula unavyopendelea kula na ushauri
  • Ratiba / Mpango wa chakula kulingana na vyakula unavyovipenda kwa wiki
  • Ushauri mahususi wa namna ya kuepuka madhara ya kisukari ikiwemo kufanyiwa tathimini ya tiba

Furahia

TSh.79900
TSh. 49,900 Kwa Mwezi
  • Huduma zote kwenye mpango wa Fanya, na
  • Kitabu kitakachokufundisha nini cha kula na namna ya kuchanganya vyakula bila kupandisha sukari
  • Kuletewa vipimo ulivyoagiza ulipo
  • Punguzo la bei ya glucose strips popote utakapokuwepo

Kwanini Wanafanikiwa?

Elimu sahihi

Kufahamu vyakula, tabia za mtindo wa maisha, tiba na athari na namna ya kuziepuka

Ushauri mahususi

Kulingana na mahitaji yako na hali yako ya afya. Kwamfano tunatumia vyakula unavyopenda

Msaada wa mojaa kwa moja

Kutoka kwa wataalamu wetu watakaohakikisha umeelewa na kutenda

Amani

Kulingana na unavyoshiriki. Huna hofu. Una mtaalamu wako wakati wowote!

Una Maswali haya?

AFYA-Plan ni programu ya miezi sita (6), hatahivyo unaweza kuzidisha kadiri unavyopenda na kuona ina manufaa.

Unaweza kutoka muda wowote iwapo utaona umefuzu. Lengo letu ni kuhakikisha tunakuwezesha kudhibiti afya yako mwenyewe ukiwa nyumbani. Tunashauri angalau utoke baada ya miezi mitatu, ila kama unaona umefuzu  unaweza kutoka muda wowote! 

AFYATech si hospitali na bado haina hospitali kwasasa. Kazi yetu ni kuendelea pale ambapo hospitali zimeishia. Tunakuhakikishia afya bora nyumbani. Tutakushauri kila wakati. Unachotakiwa kufanya ni kuwasiliana moja kwa moja na wahudumu wetu! 

Lengo letu ni kukuwezesha kukupa elimu sahihi, kukuwezesha kuchukua hatua stahiki na kukukwezesah kudhbiti magonjwa haya. Ikiwa programu hii haina tija baada ya kujifanyia tathmini unaweza kujitoa na tutakurudishia  pesa yako ndani ya mwezi mmoja.

Unaweza kulipa kabla au mara tu baada ya kupokea bidhaa yako. Hii ni kwasababu ya kutunza uaminifu na kukupa uhuru wa kuagiza bila stress

Bila shaka. Lengo letu ni kukusaidia kuboresha afya yako na ya watu unaowathamini. Tumetengeneza video za maelekezo. Pia tutakuelekeza moja kwa moja kama video haitoshi. 

Moshi-HQ,
Dar – Agent,
Mwanza – Agent,
Dodoma – Agent,
Arusha – Agent
Singida – Agent,
Morogoro – Agent,
Ifakara – Agent,
Mbeya – Agent, na
Zanzibar – Agent.

👉Kwingine kote tunasafirisha ndani ya saa 24.

Tuna vifaa kutoka India, China, Uturuki, South Korea nk. Hatahivyo, sisi tumejikita kwenye ubora zaidi kuliko sehemu bidhaa imetoka. Na tumekuwa tukitumia majibu ya tafiti kuamua bidhaa ya kuagiza kwa ajili ya matumizi yako na kwa watu unaowathamini.

Rejesha Furaha ya Kula!

Jiunge na Fahamu tukupatie uchambuzi kama mlo wako wa sasa unaweza kukusaidia kushusha presha. Tutakupatia uchambuzi huu BUURE KABISA!

Kutoka kukufahamisha uhusiano wa vyakula na kisukari hadi ushauri wa kiasi na mwishowe mpango mkakati wa vyakula, tunakupa njia ya kufurahia vyakula vyako pendwa bila kuongeza viwango vya sukari yako.

© 2024 All Rights Reserved.

Shopping Cart