About Us
Unahitaji Vifaa-tiba utakavyoviamini wakati wote utakapokuwa unavitumia? Unahitaji msaada wa kutengeneza nyenzo kwa ajili ya research au kufanya data analysis? Au unahitaji mshirika wa kufanya nae utafiti?
AFYATech ni JIBU kwa maswali yote haya. AFYATech tunaongozwa na Kanuni 3: Uaminifu,
Ufanisi, na Uadilifu