Shinikizo la juu La damu
KUWA NA BP MACHINE HUSAIDIA KUDHIBITI PRESHA NA KUEPUKA MADHARA YAKE!:
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Ut elit tellus, luctus nec ullamcorper mattis, pulvinar dapibus.
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Ut elit tellus, luctus nec ullamcorper mattis, pulvinar dapibus.
Kuna Njia moja tu ya kuweza kutambua kama unashinikizo la juu la damu: kujipima tu!
Je, unafahamu ugonjwa wa shinikizo la juu la damu, presha, unaitwa muuaji wa kimya-kimya kwa kuwa wengi wamefariki kutokana na ugonjwa huu bila kufahamu walikuwa wakiugua.
Kwa ambao hawakufa wamekuwa wakipata madhara ya ugongwa huu: kiharusi, matatizo ya moyo, figo na kutokuona nk.
Tafiti zinaonesha kwamba watu wanaokuwa na Machine ya kupima presha huwa na unafuu wa kupata madhara yatokanayo na presha ukilinganisha na wasiokuwa nayo
Kama ni Mgonjwa na Unatumia dawa, Njia nzuri ya kufahamu kama TIBA INAFANYA KAZI NI KUANGALIA KAMA PRESHA INAPUNGUA.
Ukiutambua ugonjwa huu MAPEMA utaweza KUUDHIBITI wenyewe pamoja na madhara yake.
KUTAMBUA MAPEMA hupelekea matokeo Mazuri ya Tiba
FAIDA zote utazipata UKIWA NYUMBANI. Huna haja ya kulipa tena NAULI kwa ajili ya KWENDA kupima Presha Hospitali au kwingineko
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Ut elit tellus, luctus nec ullamcorper mattis, pulvinar dapibus leo.
Elit tellus, luctus nec ullamcorper mattis, pulvinar dapibus leo.
Tafadahali rejea maswali ambayo tumekuwa tukiulizwa mara kwa mara na wateja wetu. Ni muhimu kurejea maswali haya kwakuwa huwenda yakakupa ufahamu zaidi au kujibu swali lako ikitokea nawe ulikuwa na swali kama hilo.
1-Wasiliana Nasi upewe maelekezo ya Kulipia (Utaamua kulipa KABLA ama BAADA YA KUPOKEA MZIGO WAKO); 2-Utaelekezwa namana ya kuweka order; 3- Utajadiliana namna ya Kutumiwa na Kuupokea Mzigo wako.
Tunasafirisha nchi nzima!
Tuko Moshi Kilimanjaro. Kwa kujali Wateja wetu walioko kote nchini, tuna agents Arusha, Dodoma, Dar es salaam, Mwanza na Zanzibar.
Kwa kujali wateja wetu, Tunasambaza vifaa vyetu nchi nzima na nchi jirani.
Pata mashine yako LEO KWA BEI YA OFFER 99,000/= badala ya 120,000/=
Tunasafirisha popote Tanzania ndani ya saa 24! Hii ni kama uko mikoa ambayo hatuna agents.