Kipimo cha Presha-Automatic BP Machine

Sifa za kipimo hiki

Kipimo cha presha Automatic-BP Machine.

Fahamu hatua zinazokusaidia zaidi

Kipimo hiki huweka kumbukumbu ya vipimo 90. Inakurahisishia kutathmini

Kipimo Cha Presha Mnaweza Kutumia Wawili AFYATech

Tumia wawili

Kifaa hiki kinahifadhi kumbumbu za watu wawili tofauti

Faida ya 1

Kama unatumia dawa au njia zingine za kudhibiti sukari...namna pekee ya kufahamu kama unaendele vizuri ni kupima sukari

Faida ya 2

Tafiti zinaonesha kwamba ukitambua hali yako mapema hatari ya kupata madhara hupungua kwasababu utachukua hatua mapema

Faida ya 3

Utajua kwa Uhakika kiwango cha sukari na Presha. Hutokuwa mtu wa kuhisi kila unapojisikia vibaya

Vilivyonunuliwa pamoja na

Dhibiti na Epuka madhara ya presha

Okoa TShs. 30,000/= na Usafiri bure! Bonyeza Ipate Leo!

Ipate Leo!
Scroll to Top
0

Subtotal