Aneroid BP machine ni kifaa cha kupima shinikizo la damu ambacho hutumiwa na watoa huduma za afya na wanafunzi katika fani za afya.
Ni moja ya vifaa muhimu kwa watoa huduma za afya na mwanafunzi. Unaweza kununua kifaa kimoja au kikiwa kwenye set kamili.
Kwa wanafunzi, kifaa hiki kinakuja na warranty hadi umalize masomo yako. Ni chombo bora cha kupima shinikizo la damu kwa usahihi na ufanisi.
Reviews
There are no reviews yet.