Be the first to review “Basic Medical Set” Cancel reply
Basic Medical Set
★★★★★ 5/5
𝗨𝗺𝘂𝗵𝗶𝗺𝘂 : Vifaatiba vya mafunzo kwa wanafunzi wa kozi za afya ni uti wa mgongo kwenye mafunzo na uweledi. Kwani ukiwa na vifaa kamili na bora utaweza kujifunza kwa vitendo. Utaweza kufanya mazoezi ya kumpima mgonjwa wako wakati wowote unapopata fursa. Wanafunzi wamekuwa wakipata changamoto ya kufahamu namna ya kupata vifaatiba bora. Jipatie vifaatiba bora vyenye warranty mpaka umalize chuo.
Vifaa: Basic medical set ni seti yetu yenye vifaa 10 muhimu kwa mafunzo ya medicine, clinical medicine na uuguzi. Unapokuwa na Basic medical set utawadumia wateja wa aina mbalimbali kuanzia watoto, watu wazima, wajawazito na utaweza pia kusikiliza mapigo ya moyo ya mtoto akiwa tumboni.
- 1-BP Machine – kupimia Shinikizo la Damu,
- 2-Stethoscope – Mapigo ya Moyo;
- 3-Thermometer – joto la mwili,
- 4-Tape measure– kipimo cha urefu;
- 5-Theatre goggles – kulinda macho yako dhidi ya kurukiwa na damu wakati wa upasuaji au uzalishaji
- 6-Patella hammer na
- 7-Pen torch – kupima mfumo wa fahamu
- 8-Tuning Fork – kupima mishipa ya fahamu
- 9-Fetoscope – kusikiliza mapigo ya mtoto akiwa tumboni
- 10- MUAC Tape – kupima hali ya lishe ya mtoto mwenye umri chini ya miaka 5. Sasa unaweza kumshauri mzazi kuhusu hali ya mwanae kwenye lishe
Kozi Gani: Hivi ni vifaa muhimu kwa mwanafunzi wa kozi za Uuguzi-Nursing na clicinical medicine na kwa wahudumu wa Afya.
𝐅𝐚𝐢𝐝𝐚 𝐔𝐧𝐚𝐲𝐨𝐩𝐚𝐭𝐚 𝐮𝐭𝐚𝐤𝐚𝐩𝐨𝐧𝐮𝐧𝐮𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐭𝐮 𝐧𝐢
- kutokuwa na hofu ya kutapeliwa,
- Warranty mpaka umalize shule – miaka 3
- Unanunua kwa wahudumu wa afya wenzako na wenye uzoefu wa kutosha kufundisha katika vyuo vya afya.
- Ushauri bure wakati wote na Huduma Bora hata baada ya kununua.
Sh 167,400.0 Original price was: Sh 167,400.0.Sh 147,400.0Current price is: Sh 147,400.0.
Availability: In stock
SKU
HES-SP-D-SET-CO-2
Categories Clinical Medicine Sets, Medical Doctors Sets, Medical Sets, Students Items, Students Kit
Related products
Physiotherapy Medical Set
Sh 113,300.0Original price was: Sh 113,300.0.Sh 91,500.0Current price is: Sh 91,500.0.
Reviews
There are no reviews yet.