BMI Calculator-Uwiano Wa Uzito Na Urefu

5/5

Kifaa: Calculator ya Uwiano wa Uzito na Urefu

Faida ya kuwa na BMI Calculator: Ukijua tu uzito na urefu wako kifaa hichi kitakwambia BMI yako ni kiasi gani na inamaanisha nini. Hivyo unaweza kuepuka madhara ya uzito mkubwa kama presha, kisukari na magonjwa ya moyo kwa kuchukua hatua stahiki kwa wakati.

Changamoto#1 tunayokusaidia kutatua: Uwiano kati ya uzito na urefu ni kizio muhimu kinachotumika kupima hali ya Afya ya mwanadamu. Kuwa na uzito mkubwa kupita kiasi kunasababisha matatizo ya kiafya kama vile kisukari, shinikizo la juu la damu, magonjwa ya moyo, magonjwa ya mifupa na viungo.

Changamoto#2 Changamoto#1 tunayokusaidia kutatua: Kutafuta uwiano kati ya uzito na urefu unatakiwa ufahamu urefu wako katika mita, na uzito wako katika kilogram. Zidisha urefu wako kwa urefu wako (urefu*urefu). Kisha, gawanya uzito wako kwa urefu*urefu. Wengine hawapendi kufanya hesabu.

Uwiano huu umegawanyika katika sehemu tatu:

  1. 18.5-24.9-Uko sawa;
  2. 25-39.9-Uzito Mkubwa;
  3. 30+ Uzito wa kupitiliza.
  4. BMI chini ya 18.5 ni uzito mdogo.

Utatuzi: HES tumekuletea kifaa ambacho kitakufahamisha BMI yako kwa haraka na kukuondoa na adha ya mahesabu haya.

Sh 19,000.0

Availability: In stock

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “BMI Calculator-Uwiano Wa Uzito Na Urefu”

Specify Facebook App ID and Secret in the Super Socializer > Social Login section in the admin panel for Facebook Login to work

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart
Muulize Dr. Adinan
1
Muulize Dr. Adinan
Chat na Dr. Adinan
Unaweza kupata BMI Calculator-Uwiano Wa Uzito Na Urefu leo. Nini ungependa kuuliza?