Magongo ya kutembelea – Crutches

5/5

Magongo – crutches yetu – suluhisho na chaguo bora kwa mtu yeyote anayehitaji usaidizi wa kutembea kama mgonjwa anayepona kutokana na jeraha au upasuaji.

Magongo yetu yametengenezwa kwa nyenzo za hali ya juu, kuhakikisha uimara na maisha marefu. Zimeundwa kuwa nyepesi na rahisi kudhibiti, na kuzifanya kuwa bora kwa matumizi katika mipangilio mbalimbali.

Unaweza kurekebisha urefu wa Magongo kuruhusu matumizi kulingana na urefu wako.

Magongo yetu yana uimara na salama na salama, kutoa usaidizi kwa mtumiaji wakati wowote. Kitufe kinachogota chini hushika kwa umadhubuti sehemu aina tofauti na hivyo kukuepusha kuanguka.

Tembea kama kawaida na kwa usalama unapotumia magongo ya AFYATech.

Sh 65,000.0

SKU HES-P-D-CRUT-1 Categories , Tags , ,

Magongo haya nyepesi, imara na salama. Faidia zingine ni

  • Unaweza kurekebisha urefu
  • Wepesi utakusaidia kutembea nayo popote
  • Ni imara, utaokoa pesa zako kwa kutumia kwa muda mrefu
  • Usalama ni kwasababu kitufe kinachoshika chini ni madhubuti na  hung’ang’ania chini

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Magongo ya kutembelea – Crutches”

Specify Facebook App ID and Secret in the Super Socializer > Social Login section in the admin panel for Facebook Login to work

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart
Muulize Dr. Adinan
1
Muulize Dr. Adinan
Chat na Dr. Adinan
Unaweza kupata Magongo ya kutembelea – Crutches leo. Nini ungependa kuuliza?