Other
Renting Oxygen Cylinders
Sh 50,000.0
+ Free ShippingTangu January 2022 tumekuwa tukiwasaidia waendesha kampuni za utalii usalama wa wageni pamoja na wafanyakazi wao kwa kuwapatia oxygen ya dharura. Sasa unapata oxygen katika viwango mbalimbali. Kwa Mahitaji yako ya Oxygen Usisite Kutuuliza.
Tumedhamiria kushirikiana na wewe ili tukue pamoja. Health Equipment Solutions tunaamini Kwamba Afya ndiyo mtaji wa kwanza muhimu na kwamba Biashara yenye kuzingatia afya ya wateja na waajiri huaminiwa na hukuwa. Nasi tunapenda tukuwe pamoja.
Moja ya huduma zetu ni *kukuazima mtungi wa oxygen kwa TSh. 50,000/=* na kukupa huduma zingine kama ifuatavyo:
- Kukodisha mitungi ya Oxygen wa 2-2.8Lts kwa siku 5
- Tutakupatia Masks 1 kwa cylinder
- Tutakuazima pulse Oximeter ikiwa utakodisha kuanzia mitungi miwili (2)
- Tutakuazima Infrared Thermometer ikiwa utakodisha kuanzia mitungi mitano (5)
Bonyeza IPATE LEO kuweka oda yako.
Items Sold: 1
Ungependa kuuliza nini?