fbpx

Miwani ya jua na miwani ya kuendeshea gari usiku

5/5

Furahia mandhari, boresha usalama unapoendesha usiku kwa kuepukana na changamoto za taa kali “full”.

Pata seti ya miwani za kipekee na zenye ubora wa hali ya juu.

Pata offer yako leo.

Bonyea Ipate leo kuweka Oda Yako!

Sh 50,000.0

Availability: In stock

SKU HES-P-D-GLASNV+P-1 Categories , Tag

Wakati mwengine kitu kizuri kinapita, unataka kuangalia vizuri lakini jua ni kali, linakuchoma macho na hukioni kitu hicho vizuri.

Inapofika usiku unaendesha gari unapigwa na taa full, mpaka inakusababishia kutokuona vizuri na kuhatarisha usalama wako.

Sasa tumekuja na suluhisho! Tunakupati Miwani ya jua na miwani ya kuendeshea gari usiku.

Furahia mandhari, boresha usalama unapoendesha usiku kwa kuepukana na changamoto za taa kali “full” unapotumia Miwani ya jua mchana, na miwani ya kuendeshea gari usiku.

Pata seti ya miwani za kipekee na zenye ubora wa hali ya juu.

Pata offer yako leo.

Bonyea Ipate leo kuweka Oda Yako!

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Miwani ya jua na miwani ya kuendeshea gari usiku”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart
Muulize Dr. Adinan
1
Muulize Dr. Adinan
Chat na Dr. Adinan
Unaweza kupata Miwani ya jua na miwani ya kuendeshea gari usiku leo. Nini ungependa kuuliza?