Sale!

Dhibiti Kisukari na Presha kikamilifu: Tumia vifaa hivi

5/5

Unataka kudhibiti na kuepuka madhara ya presha na kisukari?

Kuwa na presha, kupata vidonda miguuni ni miongoni mwa madhara ya sukari. Madhara yote yanaepukika kama UTAFAHAMU maendeleo yako kwa UHAKIKA na utachukua hatua stahiki mapema.

Leo tunakuwezesha kudhibiti na kuepuka madhara ya presha na kisukari kwa kukufahamisha na kukupatia vifaa 3 muhimu.

Unapokuwa na vifaa hivi unaweza kufahamu maendeleo yako kwa uhakika na kuchukua hatua stahiki mapema. Pia unaweza kutathmini tiba yako kama inafanya kazi ama la.

Kumbuka magonjwa haya yana siri moja nzito, hali inaweza kuwa mbaya bila kuonesha dalili hata moja. Yani presha inaweza kuwa juu sana na sukari inaweza kupanda sana kiwango cha kuathiri moyo, ubongo na figo bila wewe kusikia utofauti.

Vifaa hivi ni

  1.  Kipimo cha skari – Glucometer- Hichi kitakufahamisha kiwango chako cha sukari.
  2. Kipimo cha presha. Hichi kitakusaidia kufahamu kiwango cha presha yako ya damu.
  3. Monofilament-Kifaa hichi kitakufahamisha uwezo wa miguu yako kuhisi. Hichi kitakusaidia kuchukua hatua stahiki usipate vidonda miguuni.

Kumbuka vipimo hivi unavitumia nyumbani. Na faida ya kutumia nyumbani ni uharaka wa huduma, kutumia na familia yako ukiacha kuokoa gharama za kwenda kwenye kituo cha afya.

Tumetenga Set hii kwa watu 30 za kuuza kwa bei ya offer! Kwakawaida vifaa hivi huuzwa vyote shilingi 214,000/= Lakini tutakupatia leo kwa Shilingi 149,000/=. Yani utapata punguzo la 65,000/=

Huu ni mchango wetu kwa wanaougua Kisukari na presha Tanzania. Offer hii ni ya MUDA MAALUM.

Tafadhali bonyeza IPATE LEO. 

Original price was: Sh 228,000.0.Current price is: Sh 159,000.0.

Availability: In stock

Sh 50,000.0
Original price was: Sh 149,000.0.Current price is: Sh 119,000.0.
Sh 19,900.0

Availability: In stock

Faida zingine za kuwa na vifaa hivi ni 

  1.  Kuwa na uwezo wa kutathmini tiba
  2. Kuepuka gharama za matibabu kwa kuwa unaweza kuepuka madhara
  3. Kutumia muda wako vizuri kwakuwa sasa unaptima ukiwa nyumbani au popote unapokuwa na vifaa vyako.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Dhibiti Kisukari na Presha kikamilifu: Tumia vifaa hivi”

Specify Facebook App ID and Secret in the Super Socializer > Social Login section in the admin panel for Facebook Login to work

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart
Muulize Dr. Adinan
1
Muulize Dr. Adinan
Chat na Dr. Adinan
Okoa -30% leo!. Ungependa kuuliza kuhusu bidhaa hii?