Shinikizo la damu la juu – presha limegharimu maisha ya watu wengi kwa kusababisha vifo na ulemavu wa kudumu. Kwa ambao hawakufa wamekuwa wakipata kiharusi, matatizo ya moyo, figo na kutokuona nk.Kipimo cha presha kama saa kitakufahamaisha presha yako kwa uhakika na kwa urahiiisi kabisa.
Ugonjwa wa shinikizo la juu la damu, presha, unaitwa muuaji wa kimya-kimya kwa kuwa wengi wamefariki kutokana na ugonjwa huu huku wengi wao hawakufahamu kama walikuwa wakiugua. Presha ni ugonjwa unaotibika kama ukitambulika mapema.
Tumekuja na ufumbuzi wa kukusaidia kuweza kutambua hali yako ya presha mapema. Kwa kukupatia kipimo bora unachoweza kutumia kujipima mwenyewe presha ukiwa nyumbani
Kwanini Unakihitaji?: Kuna Njia moja tu ya kuweza kutambua kama unashinikizo la juu la damu: kujipima tu!
Reviews
There are no reviews yet.