Be the first to review “Kipimo cha Presha + Kisukari + Uzito” Cancel reply
Kipimo cha Presha + Kisukari + Uzito
★★★★★ 5/5
Ishi kwa furaha na amani kwa kuweza kudhibiti presha na sukari. Unaweza ukajiuliza kwanini vipimo hivi vitakupa furaha na amani. Kama ndivyo, basi sababu ni hii. Afya ndiyo kipaumbele cha kiumbe yeyote aliye duniani.
Fikiria unapojisikia wakati unashindwa kufanya kazi zako kwa kuwa tu unaumwa. Vipi mtu angekuhakikishia kwamba hutoumwa? Na kama akitokea mwengine akakwambia ndiyo utaumwa lakini tiba ipo?
Hapa namaanisha unapofahamu hali yako ya afya kwa UHAKIKA, unakuwa na amani na daktari anapokuletea habari kwamba ugonjwa wako unapona na tiba ipo, furaha inatamalaki. Sasa kwanini presha na kisukari?
Watu wengi wamekuwa wakifariki kutokana na shinikizo la damu (presha) na kisukari kwasababu magonjwa haya yanaweza kuwepo kwa muda mrefu bila kuonesha dalili. Hivyo wengi wamekuwa wakishtukizwa na kiharusi, matatizo ya moyo, figo na kutokuona nk.
Kuna Njia moja tu ya kuweza kutambua kama unashinikizo la juu la damu (presha) na kisukari: kujipima tu!
Ugonjwa wa shinikizo la juu la damu, na kisukari na madhara ya magonjwa haya yanaweza kuzuilika na kudhibitika kama utachukua hatua stahiki mapema.
Kwa kufahamu. Kwakuwa nafahamu wewe ni mtu makini mwenye kujali afya yako nakupatia vifaa hivi kwa punguzo la TShs. 50,000/=. Lengo letu ni kuhakikisha tunakuwezesha wewe kufikia lengo lako la kuwa na afya bora.
Fahamu faida ya vifaa hivi Faida ya kuwa na vifaa hivi, yani faida kwako. Ukiwa utavitumia vifaa hivi utakuwa na uhakika wa afya yako na hivyo kuwa huru na msongo wa mawazo. Sasa utakuwa na raha na afya bora.
Haya yanabainishwa na tafiti zilizofanywa na wengine pamoja na sisi pia. Tafiti zimeonesha kwamba wanaochukua hatua wenyewe wanapata matokeo mazuri ya kiafya kuliko wale wanaokwenda hospitali tuu.
Weka Oda: Bonyeza purchase now kuweka oda yako sasa! 𝐎𝐟𝐟𝐞𝐫 𝐡𝐢𝐢 𝐧𝐢 𝐲𝐚 𝐦𝐮𝐝𝐚 𝐦𝐟𝐮𝐩𝐢!
Sh 287,000.0
Availability: In stock
Availability: In stock
Availability: In stock
SKU
HES-P-D-BDW-1
Categories Automatic BPM, Glucometer, Nyumbani Kit
Tags diabetes, Glucometer, kisukari, presha, Vifaatiba vya nyumbani
Related products
Kipimo cha Oxygen – Pulse Oximeter
Sh 60,000.0Original price was: Sh 60,000.0.Sh 53,900.0Current price is: Sh 53,900.0.
Reviews
There are no reviews yet.