Eyewear, Nyumbani Kit
Miwani ya kuendeshea gari usiku
TZs 40,000
Miwani ya kuendeshea gari usiku ina faida gani kwako?
Je, unaudhika na kuhisi kuwa kwenye hatari kutokana na mwangaza mkali wa taa za magari mengine wakati wa kuendesha gari usiku? Miwani polarized za kuendeshea gari usiku ni suluhisho linaloweza kukusaidia.
Tunakuletea kwako miwani hiyo maalum ili kuongeza usalama wako na kukufanya ufurahie kuendesha gari wakati wa usiku.
Bonyea Ipate leo kuweka Oda Yako!
Availability: In stock
Ungependa kuuliza nini?









Reviews
There are no reviews yet.