fbpx
Sale!

Kula hivi Dhibiti presha: Vyakula vinavyoshusha presha

5/5

Vyakula vinavyoshusha presha ni muhimu kuvifahamu ili udhibiti presha. Wagonjwa wengi wa kisukari wameshindwa kushusha sukari yao licha ya kufuata maelekezo mbalimbali ikiwemo kuacha au kupunguza vyakula.

Tunajifunza kwamba wengi wanashindwa kudhibiti sukari  si kwasababu hawataki kufuata masharti ispokuwa hawana elimu sahihi.

Kitabu hiki cha kipekee  (nitakwambia kwanini) kinaelezea jinsi lishe bora inavyoweza kusaidia katika udhibiti wa kisukari.

Kwa kutoa mwongozo kamili na mbinu za vitendo, mwandishi Dr. Adinan Juma, daktari mtafiti, anaweka msisitizo kwenye chakula na lishe sahihi kwa wagonjwa wa kisukari. Si virutubisho

Kutoka kwenye uhusiano wa vyakula na kisukari hadi kujipangia mlo bora, kitabu hiki kinakupa ufahamu wa thamani na hatua za kufuata ili kudumisha afya njema na kudhibiti kiwango cha sukari mwilini.

Kwa mwongozo huu, msomaji unaweza kufanya maamuzi sahihi kuhusu lishe yako na kufurahia maisha yenye afya bora.”

Je, Kitabu hiki kinakufaa?

Napenda nikupe sababu 2 kwanini kitabu hiki ni muhimu na kinakufaa.

  1. Kitabu hiki kwa asilimia kubwa kimezingatia maisha ya mgonjwa wa kisukari. Ni wagonjwa wa kisukari tukishirikiana tumeandika kitabu hiki. Sifa hii inakipa kitabu hichi upekee! Tumeandika kitabu hiki kwa takribani miaka 4, tangu 2021.
  2. Tumezingatia vyakula tunavyokula katika mazingira yetu ya kila siku. Haya yote tukayaandika katika lugha rahisi sana kwa mtu yeyote anayejua kusoma. Hivyo unaelewa na kutekeleza ushauri kubadilisha maisha yako. Anasema Mzee John, “Nimekipenda hiki kitabu. Kimenifahamisha vizuri sana kuhusu chakula. Sikuwa najua kwamba vyakula karibia vyote vina wanga. Sasa naweza kupanga vyakula vyangu”.

Original price was: Sh 49,900.0.Current price is: Sh 19,000.0.

Kufahamu virutubisho vilivyomo kwenye chakula ni vizuri na unapata manufaa mengi. Lakini, ni rahisi kuelewa na kupanga mlo wako kwa kutumia uhalisia kwa sababu kuu tatu.

  1. Tunaona kwanza chakula: Ukweli usiopingika kwamba tunapokwenda sokoni tunalenga kununua mchicha na si Vitamin A na pia tunanunua nyama tunapo kwenda buchani badala ya kusema nakwenda kununua protini.
  2. Kiwango cha virutubisho hutofautiana baina ya vyakula, lakini ya tatu na ya muhimu zaidi ni kwamba
  3. Vyakula karibia vyote huwa na aina tofauti ya virutubisho. Namaanisha kwa mfano maharage yana protini, wanga na mafuta na vitamini mbalimbali vilevile muhindi una wanga, mafuta na protini na vitamini mbalimbali.

Kwenye kitabu hiki tumezingatia maisha yetu ya kila siku hivyo kukusaidia msomaji kufahamu kwa uhakika na kuweza kupanga bila hofu aina ya mlo unaoutaka ili kuweza kuboresha afya yako bila kuathiri kiwango chako cha sukari.

Jipatie kitabu kinachokuwezesha kudhibiti kisukari huku ukila vyakula uvipendavyo.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kula hivi Dhibiti presha: Vyakula vinavyoshusha presha”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart
Muulize Dr. Adinan
1
Muulize Dr. Adinan
Chat na Dr. Adinan
Okoa -62% leo!. Ungependa kuuliza kuhusu bidhaa hii?