fbpx
Sale!

Starter Medical Set

5/5

๐—จ๐—บ๐˜‚๐—ต๐—ถ๐—บ๐˜‚ : Vifaatiba vya mafunzo kwa wanafunzi wa kozi za afya niย uti wa mgongo kwenye mafunzo na uweledi. Kwani ukiwa na vifaa kamili na bora utaweza kujifunza kwa vitendo. Utaweza kufanya mazoezi ya kumpima mgonjwa wako wakati wowote unapopata fursa. Wanafunzi wamekuwa wakipata changamoto ya kufahamu namna ya kupata vifaatiba bora. Jipatie vifaatiba bora vyenye warranty mpaka umalize chuo.

Vifaa: Starter medical set ni seti yetu yenye 7 muhimu kwa mafunzo ya uuguzi na clinical medicine. Vifaa hivi na matumizi yake ni kama ifuatavyo

  • 1-BP Machine – kupimia Shinikizo la Damu,
  • 2-Stethoscope – Mapigo ya Moyo;
  • 3-Thermometer – joto la mwili,
  • 4-Tape measure– kipimo cha urefu;
  • 5-Theatre goggles – kulinda macho yako dhidi ya kurukiwa na damu wakati wa upasuaji au uzalishaji
  • 6-Patella hammer na 7-Pen torch – kupima mfumo wa fahamu

Kozi Gani: Hivi ni vifaa muhimu kwa mwanafunzi wa kozi za Uuguzi-Nursing na clicinical medicine na kwa wahudumu wa Afya.

๐…๐š๐ข๐๐š ๐”๐ง๐š๐ฒ๐จ๐ฉ๐š๐ญ๐š ๐ฎ๐ญ๐š๐ค๐š๐ฉ๐จ๐ง๐ฎ๐ง๐ฎ๐š ๐ค๐ฐ๐ž๐ญ๐ฎ ๐ง๐ข

  • kutokuwa na hofu ya kutapeliwa,
  • Warranty mpaka umalize shule – miaka 3
  • Unanunua kwa wahudumu wa afya wenzako na wenye uzoefu wa kutosha kufundisha katika vyuo vya afya.
  • Ushauri bure wakati wote na Huduma Bora hata baada ya kununua.

Original price was: Sh 109,900.0.Current price is: Sh 99,000.0.

Availability: In stock

Sh 70,000.0
1 ร— Pen Torch

Availability: In stock

Sh 10,000.0

Availability: In stock

Sh 17,900.0

Availability: In stock

Sh 3,000.0

Availability: In stock

Sh 12,000.0
1 ร— Tape measure

Availability: In stock

Sh 500.0

Availability: In stock

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Starter Medical Set”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart
Muulize Dr. Adinan
1
Muulize Dr. Adinan
Chat na Dr. Adinan
Okoa -10% leo!. Ungependa kuuliza kuhusu bidhaa hii?