Be the first to review “Starter Medical Set” Cancel reply
Starter Medical Set
★★★★★ 5/5
๐จ๐บ๐๐ต๐ถ๐บ๐ : Vifaatiba vya mafunzo kwa wanafunzi wa kozi za afya niย uti wa mgongo kwenye mafunzo na uweledi. Kwani ukiwa na vifaa kamili na bora utaweza kujifunza kwa vitendo. Utaweza kufanya mazoezi ya kumpima mgonjwa wako wakati wowote unapopata fursa. Wanafunzi wamekuwa wakipata changamoto ya kufahamu namna ya kupata vifaatiba bora. Jipatie vifaatiba bora vyenye warranty mpaka umalize chuo.
Vifaa: Starter medical set ni seti yetu yenye 7 muhimu kwa mafunzo ya uuguzi na clinical medicine. Vifaa hivi na matumizi yake ni kama ifuatavyo
- 1-BP Machine – kupimia Shinikizo la Damu,
- 2-Stethoscope – Mapigo ya Moyo;
- 3-Thermometer – joto la mwili,
- 4-Tape measure– kipimo cha urefu;
- 5-Theatre goggles – kulinda macho yako dhidi ya kurukiwa na damu wakati wa upasuaji au uzalishaji
- 6-Patella hammer na 7-Pen torch – kupima mfumo wa fahamu
Kozi Gani: Hivi ni vifaa muhimu kwa mwanafunzi wa kozi za Uuguzi-Nursing na clicinical medicine na kwa wahudumu wa Afya.
๐ ๐๐ข๐๐ ๐๐ง๐๐ฒ๐จ๐ฉ๐๐ญ๐ ๐ฎ๐ญ๐๐ค๐๐ฉ๐จ๐ง๐ฎ๐ง๐ฎ๐ ๐ค๐ฐ๐๐ญ๐ฎ ๐ง๐ข
- kutokuwa na hofu ya kutapeliwa,
- Warranty mpaka umalize shule – miaka 3
- Unanunua kwa wahudumu wa afya wenzako na wenye uzoefu wa kutosha kufundisha katika vyuo vya afya.
- Ushauri bure wakati wote na Huduma Bora hata baada ya kununua.
Sh 109,900.0 Original price was: Sh 109,900.0.Sh 99,000.0Current price is: Sh 99,000.0.
Availability: In stock
SKU
HES-SP-D-SET-Starter
Categories Clinical Medicine Sets, Medical Doctors Sets, Medical Sets, Students Items, Students Kit
Related products
Kipimo cha Oxygen – Pulse Oximeter
Sh 60,000.0Original price was: Sh 60,000.0.Sh 53,900.0Current price is: Sh 53,900.0.CO Medical Set Offer
Sh 142,000.0Original price was: Sh 142,000.0.Sh 130,000.0Current price is: Sh 130,000.0.
Reviews
There are no reviews yet.