TEN: Suluhisho la Kisasa la Maumivu

5/5

TEN (Transcutaneous Electrical Nerve Stimulation) ni kifaa kinachosadia kudhibiti maumivu kwa kuchochea mwili kutoa kemikali ya kujisikia vizuri (Endorfins) na kudhibiti taarifa za maumivu kwenda kwenye ubongo. TEN ni slalama na rahisi kutumia kudhibiti maumivu ya muda mfupi na mrefu na yenye kutokana na sababu mbalimbali kama vile maumivu ya mgongo, misuli, na arthritis.

Sh 199,900.0

SKU HES-P-D-TEN-1 Category

TEN ni uthibitisho wa teknoloja ya juu kwenye matibabu na afya. Teknolojia imeleta mabadiliko makubwa, ikiwemo katika matibabu ya maumivu na usimamizi wa afya ya misuli. Moja ya vifaa vinavyoongoza katika mapinduzi haya ni kifaa tiba cha TEN (Transcutaneous Electrical Nerve Stimulation).

Kifaa cha TEN: Msaada wako katika kudhibiti maumivu

TEN ni kifaa kinachotumia nishati ya umeme kutoa matibabu ya maumivu kwa njia isiyo ya kuingilia mwili (non-invasive). Kwa kutumia mawimbi madogo ya umeme, kifaa hiki kinahamasisha mishipa ya fahamu, hivyo kupunguza hisia za maumivu na kuleta ahueni kwa mtumiaji.

Matumizi ya Kifaa cha TEN

  • Maumivu ya Mgongo na Shingo: Kifaa cha TEN kinaweza kutumika kupunguza maumivu ya mgongo, shingo, na maeneo mengine ya mwili.
  • Usimamizi wa Maumivu baada ya Upasuaji: Husaidia kupunguza maumivu baada ya upasuaji na hivyo kupunguza utegemezi wa dawa za maumivu.
  • Matibabu ya Misuli: Inasaidia katika kurelax na kutibu misuli iliyo na maumivu au misuli iliyokaza.

Faida za Kifaa cha TEN

  • Usalama na Urahisi wa Matumizi: Kifaa cha TEN ni salama kutumia na kinaweza kutumika nyumbani.
  • Hakuna Madhara ya Dawa: Kwa kuwa matibabu haya hayatumii dawa, haina madhara yanayohusiana na matumizi ya dawa.
  • Portable na Rahisi Kubeba: Unaweza kubeba kifaa cha TEN popote unapoenda, hivyo kuhakikisha unaendelea na matibabu yako bila kujali upo wapi.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “TEN: Suluhisho la Kisasa la Maumivu”

Specify Facebook App ID and Secret in the Super Socializer > Social Login section in the admin panel for Facebook Login to work

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart
Muulize Dr. Adinan
1
Muulize Dr. Adinan
Chat na Dr. Adinan
Unaweza kupata TEN: Suluhisho la Kisasa la Maumivu leo. Nini ungependa kuuliza?