Tunajaza oxygen kwa viwango mbalimbali. Kwa Mahitaji yako ya Oxygen Usisite Kutuulize. Tumedhamiria kushirikiana na kampuni yako ili tukue pamoja. Health Equipment Solutions tunaamini Kwamba Afya ndiyo mtaji wa kwanza muhimu na kwamba Biashara yenye kuzingatia afya ya wateja hukuwa hivyo nasi tutakuwa pia.
Tuna huduma za aina tatu (3) zinazohusiana na Oxygen.
- Kujaza Mitungi Oxygen
- Kukodisha mitungi ya Oxygen
- Kuuza Oxygen Cylinders na vitu vyake: regulators, mask, nebulizer na nasal prongs
Reviews
There are no reviews yet.