Huduma ya kudhibiti Presha kutoka AFYATech

Dhibiti Presha, Ishi kwa amani

Ili Tukusaidie Kwa Ufanisi Tafadhali bonyeza Kitufe Hapa Chini Kujaza Fomu

PreshPlan ni

Msaada wa kitaalamu unaokurudishia amani, unaosaidia wengi kudhibiti na kuepuka madhara ya presha.

Kujisajili & Tathmini:

Ili ufanikiwe inabidi tufanye tathmini ya undani. Hivyo tutahitaji taarifa zako na tutajadiliana kwa kina.

Mkakati & Mpango

Hatua hii ni muhimu na rahisi sana – tutakupangia mpango mahususi wa utekelezaji

Ufuatiliaji & Tathmini

Huu ndo moyo wa PreshaPlan. Kila wiki utakuwa na mtaalamu wako kufuatilia utekelezaji na matokeo yako. Hivyo tutaweza kuepuka madhara kwa kuchukua hatua mapema sana

Changua Mpango wa PreshaPlan Unaokufaa

Tunajua ufanisi wa huduma hii. Tumeitoa tangu 2016.

Anza Safari ya Kuwa na Amani, Pata Ushauri Bure!

Jaza fomu hii ili niweze kukufanyia tathmini na kukushauri bure!

Shopping Cart