Uhusiano wa Kifua Kikuu na Kisukari
Kifua kikuu na ugonjwa wa kisukari yana mahusiano. Hivi juzi nilikutana na rafiki yangu mmoja ambaye alinihadithia kwamba hatukuonana muda mrefu kwasababu alikuwa akiugua kifua kikuu. Huwa najua ana kisukari. Aliniambia alikuwa akisumbuliwa na dalili mbalimbali za TB ila yeye alifikiri ni dalili za kisuakri. Hadithi yake fupi ikanifanya nione umuhimu wa kuelimisa uma kuhusu