Dhibiti Kisukari Na Presha: Kuwa na Amani Kwa Kuwa na Vifaa 2 Muhimu

Kuna Njia moja tu ya kuweza kutambua kama unashinikizo la juu la damu (presha) na kisukari: kujipima tu! Watu wengi wamekuwa wakifariki kutokana na shinikizo la damu (presha) na kisukari kwasababu magonjwa haya yanaweza kuwepo kwa muda mrefu bila kuonesha dalili. Hivyo wengi wamekuwa wakishtukizwa na kiharusi, matatizo ya moyo, figo na kutokuona nk. ๐Ÿค”

Read More ยป
Shopping Cart