fbpx

Uhusiano wa Kifua Kikuu na Kisukari

Kifua kikuu na ugonjwa wa kisukari yana mahusiano. Hivi juzi nilikutana na rafiki yangu mmoja ambaye alinihadithia kwamba hatukuonana muda mrefu kwasababu alikuwa akiugua kifua kikuu. Huwa najua ana kisukari. Aliniambia alikuwa akisumbuliwa na dalili mbalimbali za TB ila yeye alifikiri ni dalili za kisuakri. Hadithi yake fupi ikanifanya nione umuhimu wa kuelimisa uma kuhusu

Read More »

Madhara ya kisukari: Kinywa na Meno

Madhara ya Kisukari: Kinywa na Meno Ugonjwa wa Kisukari husababisha kiwango cha sukari kuwepo kwa wingi katika damu na hivyo katika mate yako. Bakteria walioko mdomoni hutumia sukari hii kama chakula. Kwa hiyo bakteria hukuwa na kustawi zaidi katika mazingira yenye sukari.  Bakteria hawa husababisha meno kuoza na kutoboka. Na kama hujapata tiba haraka unaweza

Read More »

Fahamu Kisukari Kinavyosababisha Ugonjwa wa Moyo

Ukubwa wa tatizo la Magonjwa ya Moyo  Watu Milioni 18 hufariki kwa magonjwa ya moyo kila mwaka, hizi ni takwimu za shirika la Afya duniani (WHO).  Ni moja ya magonjwa machache ambayo yanendelea kuwa na hatua mbaya kadiri siku zinavyokwenda.   Kisukari kinakuweka kwenye hatari ya uwezekano wa kupata magonjwa ya moyo kuliko. Kadiri muda

Read More »

Dhibiti Kisukari Na Presha: Vifaa 3 Muhimu Kuwa Navyo Nyumbani

Kuna Njia moja tu ya kuweza kutambua kama unashinikizo la juu la damu (presha) na kisukari: kujipima tu! Watu wengi wamekuwa wakifariki kutokana na shinikizo la damu (presha) na kisukari kwasababu magonjwa haya yanaweza kuwepo kwa muda mrefu bila kuonesha dalili. Hivyo wengi wamekuwa wakishtukizwa na kiharusi, matatizo ya moyo, figo na kutokuona nk. 🤔

Read More »
Shopping Cart
Muulize Dr. Adinan
1
Muulize Dr. Adinan
Chat na Dr. Adinan
Hello 👋.
Ungependa kuuliza nini kuhusu kisukari?
Mimi ni Dr. Adinan