Kuwa na Shinikizo la juu la damu, Maambukizi kwenye mfumo wa hewa, magonjwa ya moyo, maambukizi kwenye macho, pua na koo, na Pumu.
Katika utafiti huo uliochapishwa kwenye jarida la tiba ya kisukari, Adrian Heald na wenzake wametanabahisha hayo baada ya kufanywa uchambuzi wa taarifa za wagonjwa 1932 nchini Uingereza.
Je, na wenye magonjwa haya huku kwetu wako kwenye hatari ya kupata kisukari mbeleni?
Nini maoni yako?
Soma zaidi utafiti huu HAPA