Kuwa na Amani - Ondokana na Hofu
Utajua kwa Uhakika kiwango cha sukari na Presha. Hutokuwa mtu wa kuhisi kila unapojisikia vibaya
Epuka Madhara Ya Presha & kisukari
Tafiti zinaonesha kwamba ukitambua hali yako mapema hatari ya kupata madhara hupungua kwasababu utachukua hatua mapema
Tathmini Tiba Yako
Kama unatumia dawa au njia zingine za kudhibiti sukari...namna pekee ya kufahamu kama unaendele vizuri ni kupima sukari na presha