fbpx
Sale!

Kipimo cha Presha na Sukari

5/5

Presha na kisukari ni magonjwa yanayouwa watu wengi na kusababisha ulemavu wa kudumu. Lakini magonjwa haya yanadhibitika na madhara yake kuepukikwa, kwa sharti moja. Kufahamu. Kufahamu nini?

Shinikizo la damu (presha) na kisukari yanaweza kuwepo kwa muda mrefu bila kuonesha dalili. Magonjwa haya hayaumi! Hivyo wengi wamekuwa wakishtukizwa na kiharusi, matatizo ya moyo, figo nk.

Kuna Njia moja tu ya kuweza kutambua kama unashinikizo la juu la damu (presha) na kisukari: kujipima tu!

Tafiti zinathibitisha kwamba wanaofahamu hali zao huchukua hatua mapema hivyo kuwa na matokeo mazuri.

Tunakusaidia kudhibiti na kuepuka madhara ya presha na kisukari kwa kukuwezesha kufuatilia presha yako na kiwango cha sukari kwenye damu.

Bonyeza ipate leo kupata vipimo hivi kwa bei ya punguzo.

Original price was: Sh 209,000.0.Current price is: Sh 149,000.0.

Availability: In stock

Sh 50,000.0

Availability: In stock

Original price was: Sh 149,000.0.Current price is: Sh 119,000.0.

Availability: In stock

Presha na kisukari ni magonjwa yanayouwa watu wengi na kusababisha ulemavu wa kudumu. Lakini magonjwa haya yanadhibitika na madhara yake kuepukikwa, kwa sharti moja. Kufahamu. Kufahamu nini?

Shinikizo la damu (presha) na kisukari yanaweza kuwepo kwa muda mrefu bila kuonesha dalili. Magonjwa haya hayaumi! Hivyo wengi wamekuwa wakishtukizwa na kiharusi, matatizo ya moyo, figo nk.

Kuna Njia moja tu ya kuweza kutambua kama unashinikizo la juu la damu (presha) na kisukari: kujipima tu! Tafiti zinathibitisha kwamba wenye vipimo na wanaojua hali zao huchukua hatua mapema hivyo kuwa na matokeo mazuri.

Tunakusaidia kudhibiti na kuepuka madhara ya presha na kisukari kwa kukuwezesha kufuatilia presha yako na kiwango cha sukari kwenye damu.

Bonyeza ipate leo kupata vipimo hivi kwa bei ya punguzo la TShs. 50,000/=. Lengo letu ni kuhakikisha tunakuwezesha wewe kufikia lengo lako la kuwa na afya bora.

Ishi kwa furaha na amani kwa kuwa na kipimo cha presha na sukari. Unaweza ukajiuliza kwanini vipimo hivi vitakupa furaha na amani. Kama ndivyo, basi sababu ni hii. Afya ndiyo kipaumbele cha kiumbe yeyote aliye duniani.

Fikiria unapojisikia wakati unashindwa kufanya kazi zako kwa kuwa tu unaumwa. Vipi mtu angekuhakikishia kwamba hutoumwa? Na kama akitokea mwengine akakwambia ndiyo utaumwa lakini tiba ipo? Hapa namaanisha unapofahamu hali yako ya afya kwa UHAKIKA, unakuwa na amani na daktari anapokuletea habari kwamba ugonjwa wako unapona na tiba ipo, furaha inatamalaki. Sasa kwanini presha na kisukari?

Fahamu faida ya vifaa hivi Faida ya kuwa na vifaa hivi, yani faida kwako. Ukiwa utavitumia vifaa hivi utakuwa na uhakika wa afya yako na hivyo kuwa huru na msongo wa mawazo. Sasa utakuwa na raha na afya bora. Haya yanabainishwa na tafiti zilizofanywa na wengine pamoja na sisi pia. Tafiti zimeonesha kwamba wanaochukua hatua wenyewe wanapata matokeo mazuri ya kiafya kuliko wale wanaokwenda hospitali tuu.

Weka Oda: Bonyeza purchase now kuweka oda yako sasa! 𝐎𝐟𝐟𝐞𝐫 𝐡𝐢𝐢 𝐧𝐢 𝐲𝐚 𝐦𝐮𝐝𝐚 𝐦𝐟𝐮𝐩𝐢!

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kipimo cha Presha na Sukari”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart
Muulize Dr. Adinan
1
Muulize Dr. Adinan
Chat na Dr. Adinan
Muulize Dr. Adinan