Sale!
, , , , ,

Tiba lishe Presha na Kisukari

Original price was: Sh 88,900.Current price is: Sh 39,000.

Unahangaika Kudhibiti Kisukari na Presha?

  • Je, unataka njia rahisi na salama ya kudhibiti kisukari na presha bila kutegemea dawa pekee?
  • Umekuwa ukijiuliza vyakula gani ni bora kwa mgonjwa wa kisukari na presha?
  • Unahisi kuchanganyikiwa kuhusu nini ule na nini uepuke ili afya yako iwe bora zaidi?

Ikiwa jibu lako ni NDİYO, basi una bahati! Kwa mwezi huu wa Ramadhani & Kwaresma, tumekuandalia OFA MAALUM – vitabu viwili vya lishe bora kwa wagonjwa wa kisukari na presha kwa punguzo maalum! Utavipata kwa TSh. 39,000/= badala TSh. 78,000/=

Original price was: Sh 49,900.Current price is: Sh 29,000.
Original price was: Sh 59,900.Current price is: Sh 29,000.
Items Sold: 6
Ungependa kuuliza nini?

Unapata Nini Katika Vitabu Hivi?

  • Kitabu cha Kisukari – Unajifunza jinsi ya kula kwa usahihi bila kuhisi upungufu au marufuku nyingi.
  • Kitabu cha Presha – Mwongozo wa lishe inayosaidia kudhibiti presha yako kwa vyakula vyenye virutubisho sahihi.
  • Mpangilio wa Mlo wa Kila Siku – Jinsi ya kupanga chakula chako kwa usahihi ili kudhibiti sukari na presha.
  • Vyakula vya Kuepuka & Vinavyopendekezwa – Epuka makosa yanayoweza kuathiri afya yako.

Kwa Nini Vitabu Hivi ni Muhimu Kwako?

  • Vimeandikwa kwa lugha rahisi na inayoeleweka.
  • Unapata orodha ya vyakula vinavyosaidia kudhibiti sukari na presha.
  • Ni mwongozo unaokusaidia kupanga chakula kwa uhalisia wa maisha yako.
  • Unajifunza njia za kupunguza matumizi ya dawa kwa lishe bora.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Tiba lishe Presha na Kisukari”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You may also like…

Scroll to Top