FAHAMU Chanjo Zilizopo hadi sasa
Nini maana ya “mawimbi”? Neno “wimbi” linatokana na kuzuka kwa 1889-92 ambayo ilikuwa na awamu tofauti ambazo zinapaswa kutokea kwa
Nini maana ya “mawimbi”? Neno “wimbi” linatokana na kuzuka kwa 1889-92 ambayo ilikuwa na awamu tofauti ambazo zinapaswa kutokea kwa
Wimbi ni muongezeko wa idadi kubwa ya watu walioambukizwa ugonjwa. Wimbi huweza kutokea kipindi chochote cha makabiliano dhidi ya mlipuko wa ugonjwa wa kuambukiza.
Si lazima kupata wimbi. Kupata wimbi ni chaguo.
Tumeshafahamu kwamba ni muhimu kila mtu kuchukua tahadhari na maambukizi ya Corona. Tumefahamu kwamba kinga mojawapo ni barakoa. Wengi wamekuwa wakitengeneza nyumbani barakoa zao. Je, unafahamu namna ya kutengeneza barakoa itakayokukinga?
Soma hapa kufahamu zaidi
Pulse oximeters (PO2) inapima kiwango cha hewa ya oxygen (O2) kilicho kwenye damu. PO2 inapima kiwango cha hemoglobin kilichobeba O2.