fbpx

Nafaka na umuhimu wake kwa afya

Nafaka na umuhimu wake kwa afya Nafaka ni sehemu muhimu ya lishe yetu na zina jukumu kubwa katika kudumisha afya bora. Nafaka ni chanzo kikubwa cha nishati kwa mwili wetu na zina virutubisho muhimu kama vile wanga, protini, nyuzinyuzi, madini, na vitamini. Wanga katika nafaka ni chanzo kikuu cha nishati kwa mwili wetu. Wanga hutoa

Read More »

Ulaji wa Mayai kwa Mgonjwa wa Kisukari: Lishe, Tahadhari, na Ushauri

Utata Kuhusu mayai Mayai yamekuwa chakula muhimu katika Milo ya watu wengi duniani kote, lakini wakati mwingine kuna maswali kuhusu ulaji wake hasa kwa wagonjwa wa kisukari. Je, mayai ni salama kwa wagonjwa wa kisukari? Je, kuna tofauti kati ya mayai ya kienyeji na yale ya kisasa? Haya ni baadhi ya maswali tutakayoyajibu katika post

Read More »

Mazoezi kuzuia au Kudhibiti Presha

Mazoezi yana umuhimu mkubwa katika kuzuia na kudhibiti shinikizo la juu la damu (Presha)

Hatahivyo, ni MUHIMU kutambua ni mazoezi gani, yafanywe kwa muda gani na tahadhari za kuchukuwa wakati unachagua aina ya mazoezi ya kufanya kulingana na hali yako ya presha.

Read More »
Shopping Cart
Muulize Dr. Adinan
1
Muulize Dr. Adinan
Chat na Dr. Adinan
Hello 👋.
Ungependa kuuliza nini kuhusu Tiba?
Mimi ni Dr. Adinan