Mimea Jamii ya Mizizi: Chanzo cha Lishe na Afya Bora

Mimea Jamii ya Mizizi: Chanzo cha Lishe na Afya Bora Mimea jamii ya mizizi kama vile mihogo, magimbi, viazi vitamu, na viazi ulaya (irish potato) ni vyakula maarufu katika tamaduni nyingi duniani kote. Vyakula hivi si tu vinatoa ladha nzuri, lakini pia vina faida nyingi za kiafya. Katika makala hii, tutachunguza virutubisho vinavyopatikana katika vyakula

Read More »

Nafaka na umuhimu wake kwa afya

Nafaka na umuhimu wake kwa afya Nafaka ni sehemu muhimu ya lishe yetu na zina jukumu kubwa katika kudumisha afya bora. Nafaka ni chanzo kikubwa cha nishati kwa mwili wetu na zina virutubisho muhimu kama vile wanga, protini, nyuzinyuzi, madini, na vitamini. Wanga katika nafaka ni chanzo kikuu cha nishati kwa mwili wetu. Wanga hutoa

Read More »

Sukari na Magonjwa Yasiyo ya Kuambukiza

Sukari na Magonjwa Yasiyo ya Kuambukiza Magonjwa yasiyo ya kuambukiza, kama vile kisukari, shinikizo la damu, na ugonjwa wa moyo, ni tatizo kubwa la afya katika jamii yetu leo. Moja ya sababu kuu ya kuongezeka kwa magonjwa haya ni matumizi ya sukari kupita kiasi. Katika makala hii, tutajadili jinsi sukari inavyoathiri kiwango cha presha ya

Read More »
Shopping Cart
Muulize Dr. Adinan
1
Muulize Dr. Adinan
Chat na Dr. Adinan
Hello 👋.
Ungependa kuuliza nini kuhusu Lishe?
Mimi ni Dr. Adinan