fbpx

Tofauti kati ya mwanaume na mwanamke katika kupata presha

Kuna tofauti katika ya kupata shinikizo la damu kati ya wanaume na wanawake? Wanaume na presha Kwa ujumla, wanaume wako katika hatari kubwa zaidi ya kupata shinikizo la damu kuliko wanawake. Hii ni kwa sababu ya sababu kadhaa za kibaolojia, kijamii na tabia. Kwa upande mmoja, wanaume mara nyingi huwa na uzito mkubwa wa mwili

Read More »

Tiba ya presha ya kupanda

Kufahamu tiba ya presha ni muhimu ili kudhibiti na kuepuka madhara ya presha. Nimekuandikia mambo muhimu unayohitaji kufahamu kuhusu tiba ya presha. Tafadhali soma zaidi

Read More »

Shinikizo la juu la damu wakati wa ujauzito

UTANGULIZI. Ugonjwa wa Shinikizo la juu la damu kipindi cha mimba  umeongezeka kutoka milioni 16.30 mpaka milioni  18.08 duniani,ambayo ni ongezeko la asilimia 10.92 kutoka mwaka 1990 mpaka 2019.Tatizo hilo linaongoza kusababisha vifo na matatizo kwa akina mama wajawazito duniani. Miongoni mwa matatizo yanayotokana na shinikizo la juu la damu kipindi cha mimba ni kifafa

Read More »
Shopping Cart
Muulize Dr. Adinan
1
Muulize Dr. Adinan
Chat na Dr. Adinan
Hello 👋.
Ungependa kuuliza nini kuhusu Shinikizo la damu?
Mimi ni Dr. Adinan