Kuwa Mtaalamu Bora Wa Afya! Fahamu Vifaa vya Mafunzo Kozi Za Afya
Kuwa na vifaa ni sawasawa na MAFANIKIO kwa mafunzo ya udaktari. Wengi wa wanafunzi huwa hawafahamu aina ya vifaa wanavyotakiwa kuwa navyo na hata UBORA. Hivyo wengi wamejikuta wakinunua eidha vifaa VINGI au VICHACHE au VISIVYOHITAJIKA…na Mbaya zaidi, VINAVYOHARIBIKA muda mchache baada ya kununua…