Sifa za kipimo hiki
Fahamu hatua zinazokusaidia zaidi
Kipimo hiki huweka kumbukumbu ya vipimo 90. Inakurahisishia kutathmini
Tumia wawili
Kifaa hiki kinahifadhi kumbumbu za watu wawili tofauti
Faida ya 1
Kama unatumia dawa au njia zingine za kudhibiti sukari...namna pekee ya kufahamu kama unaendele vizuri ni kupima sukari
Faida ya 2
Tafiti zinaonesha kwamba ukitambua hali yako mapema hatari ya kupata madhara hupungua kwasababu utachukua hatua mapema
Faida ya 3
Utajua kwa Uhakika kiwango cha sukari na Presha. Hutokuwa mtu wa kuhisi kila unapojisikia vibaya