๐Heri ya Siku ya Wanawake ๐
๐คIkiwa una nia ya kufahamu alama muhimu za ujauzito, unaweza kufanya hivyo kupitia gurudumu la ujauzito (Pregnancy wheel).
๐ฅ Tunakupatia kifaa hiki BUURE kuadhimisha siku yako muhimu.Tembelea Ofisi Zetu.
๐ค Umuhimu wa kifaa hiki ni kama ifuatavyo
1๏ธโฃKwanza kabisa, inakusaidia kujua
tarehe inayotarajiwa ya kujifungua
2๏ธโฃ Wakati unapoweza kutegemea kumsikia mtoto akicheza
3๏ธโฃ Tarehe ya mtoto kujishikiza kwenye mji wa uzazi na
4๏ธโฃ Kufahamu zaidi tembelea page yetu: afyatechtz.com
๐Share ujumbe huu na umpendaye
