🎉Heri ya Siku ya Wanawake 🎆

🤝Ikiwa una nia ya kufahamu alama muhimu za ujauzito, unaweza kufanya hivyo kupitia gurudumu la ujauzito (Pregnancy wheel).

🔥 Tunakupatia kifaa hiki BUURE kuadhimisha siku yako muhimu.Tembelea Ofisi Zetu.

🤔 Umuhimu wa kifaa hiki ni kama ifuatavyo

1️⃣Kwanza kabisa, inakusaidia kujua
tarehe inayotarajiwa ya kujifungua
2️⃣ Wakati unapoweza kutegemea kumsikia mtoto akicheza

3️⃣ Tarehe ya mtoto kujishikiza kwenye mji wa uzazi na

4️⃣ Kufahamu zaidi tembelea page yetu: www.afyatechtz.com

👍Share ujumbe huu na umpendaye

Shopping Cart
Muulize Dr. Adinan
1
Muulize Dr. Adinan
Chat na Dr. Adinan
Hello 👋.
Ungependa kuuliza nini kuhusu Pregnancywheel?
Mimi ni Dr. Adinan