Kifaa: Calculator ya Uwiano wa Uzito na Urefu
Faida ya kuwa na BMI Calculator: Ukijua tu uzito na urefu wako kifaa hichi kitakwambia BMI yako ni kiasi gani na inamaanisha nini. Hivyo unaweza kuepuka madhara ya uzito mkubwa kama presha, kisukari na magonjwa ya moyo kwa kuchukua hatua stahiki kwa wakati.
Changamoto#1 tunayokusaidia kutatua: Uwiano kati ya uzito na urefu ni kizio muhimu kinachotumika kupima hali ya Afya ya mwanadamu. Kuwa na uzito mkubwa kupita kiasi kunasababisha matatizo ya kiafya kama vile kisukari, shinikizo la juu la damu, magonjwa ya moyo, magonjwa ya mifupa na viungo.
Changamoto#2 Changamoto#1 tunayokusaidia kutatua: Kutafuta uwiano kati ya uzito na urefu unatakiwa ufahamu urefu wako katika mita, na uzito wako katika kilogram. Zidisha urefu wako kwa urefu wako (urefu*urefu). Kisha, gawanya uzito wako kwa urefu*urefu. Wengine hawapendi kufanya hesabu.
Uwiano huu umegawanyika katika sehemu tatu:
- 18.5-24.9-Uko sawa;
- 25-39.9-Uzito Mkubwa;
- 30+ Uzito wa kupitiliza.
- BMI chini ya 18.5 ni uzito mdogo.
Utatuzi: HES tumekuletea kifaa ambacho kitakufahamisha BMI yako kwa haraka na kukuondoa na adha ya mahesabu haya.
Reviews
There are no reviews yet.