fbpx
Sale!

Medical Scrubs

5/5

Medical scrubs kwa watoa huduma za afya na wanafunzi kwenye vyuo vya afya. Vazi hili lina umuhimu wake unapokuwa unatoa huduma. Moja ya sababu za wagonjwa kuchagua wahudumu ni utanashati na kuonekana smart kimavazi.

Ungependa kuonekana smart? Au kukipa sifa kituo chako kwa wahudumu wa afya kwenye kituo chako kuwa smart? HES tunaamini kwamba watoa huduma ya afya ni smart. Na kama mavazi yao pia yata akisi ukweli huu, anayehudumia hupata faraja na nafuu kwa kuongezeka kwa imani yake kwa wahudumu hawa.

Mteja wetu mmoja ametuambia kwamba sasa wenzake wanamuita smart doctor! HES tumehakikisha tunakuweka smart! Kuwa smart kwenye hes-smart uniforms.HES-Smart uniform tutakupatia uniforms zitakazokufanya kuwa huru wakati wako wa kazi. Zitakufanya ujiamini na wagonjwa wakuamini.

Sh 50,000.0Sh 60,000.0

DimensionsN/A
color

Blue, Dark Green, Green

size

L, M, XL

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Medical Scrubs”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart