PreshaPlan Fanya: TSh. 49,900/= kwa Miezi 6
Maelezo ya Bidhaa: Kwa wale wanaohitaji huduma za kina zaidi za kudhibiti presha, PreshaPlan Fanya inakupa:
- Huduma za Fahamu: Huduma zote zinazopatikana katika mpango wa Fahamu.
- Ushauri Mahususi: Ushauri maalum wa kukusaidia kudhibiti presha yako na kuepuka madhara.
- Mpango wa Mlo: Uchambuzi na ratiba ya mlo bora kulingana na vyakula unavyopenda kula.
- Tathmini ya Tiba: Tathmini ya tiba na marekebisho yanayohitajika ili kuhakikisha unadhibiti presha yako kwa ufanisi.
Mpango huu unakupa msingi imara wa kudhibiti presha yako kwa miezi 6. Bonyeza hapa kujisajili: Shusha Presha Plan
Reviews
There are no reviews yet.