Be the first to review “Professional Cardiology Stethoscopes” Cancel reply
Professional Cardiology Stethoscopes
★★★★★ 5/5
𝐅𝐚𝐢𝐝𝐚: Tambua magonjwa ya moyo kama daktari bingwa unapotumia Professional Cardiology Stethoscopes. Unapokuwa na Professional Cardiology Stethoscopes utasikia na utatambua tatizo la mgonjwa wako haraka na kwa usahihi kwakuwa imeboreshwa kuweza kung’amua sauti ambazo zitakufanya kugundua haraka aina za sauti ambazo ni ngumu kuzisikia unapotumia stethoscope zingine.
𝐌𝐚𝐭𝐮𝐦𝐢𝐳𝐢: Stethoscopes hutumika kachunguza na kubaini magonjwa haswa kwenye moyo na mapafu kwa kusikiliza sauti maalum zitolewazo kutokana na tatizo lililopo. Stethoscope ni miongoni mwa vifaa muhimu vya mafunzo kwa mwanafunzi wa kozi za afya kama vile physiotherapy, clicinical medicine na kwa wahudumu wa Afya.
𝐅𝐚𝐢𝐝𝐚 𝐔𝐧𝐚𝐲𝐨𝐩𝐚𝐭𝐚 𝐮𝐭𝐚𝐤𝐚𝐩𝐨𝐧𝐮𝐧𝐮𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐭𝐮 𝐧𝐢 kutokuwa na hofu ya kutapeliwa, tunakupatia warranty ya miaka 3. Kifaa kikisumbua tutakubadilishia. Unanunua kwa wahudumu wa afya wenzako na wenye uzoefu wa kutosha kufundisha katika vyuo vya afya. Ushauri bure wakati wote na Huduma Bora hata baada ya kununua.
𝐍𝐚𝐦𝐧𝐚 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐭𝐮𝐦𝐢𝐚: Tutakushauri namna ya kutumia kabla na baada ya manunuzi
Sh 58,000.0
SKU
HES-SP-D-Steth-Card
Categories Stethoscope, Students Items, Students Kit
Reviews
There are no reviews yet.