Tripple-head Stethoscope

5/5

๐…๐š๐ข๐๐š:ย Unaweza kuwahudumia watoto na watu wazima, unapokuwa na Tripple-head Stethoscope (Stethoscopes ya vichwa vitatu!) Huhitaji Tena Stethoscopes mbili tofauti wakati unamtibu mtoto au mtu mzima.

 

๐Œ๐š๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ข๐ณ๐ข:ย Stethoscope ni miongoni mwa vifaa muhimu vya mafunzo kwa mwanafunzi wa kozi za afya kama vile physiotherapy, clicinical medicine na kwa wahudumu wa Afya.

 

๐…๐š๐ข๐๐š ๐”๐ง๐š๐ฒ๐จ๐ฉ๐š๐ญ๐š ๐ฎ๐ญ๐š๐ค๐š๐ฉ๐จ๐ง๐ฎ๐ง๐ฎ๐š ๐ค๐ฐ๐ž๐ญ๐ฎ ๐ง๐ข kutokuwa na hofu ya kutapeliwa, tunakupatia warranty ya miaka 3. Kifaa kikisumbua tutakubadilishia. Unanunua kwa wahudumu wa afya wenzako na wenye uzoefu wa kutosha kufundisha katika vyuo vya afya. Ushauri bure wakati wote na Huduma Bora hata baada ya kununua. Namna ya kutumia:

๐๐š๐ฆ๐ง๐š ๐ฒ๐š ๐ค๐ฎ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ข๐š: Tutakuelekeza namna ya kutumia ili kupata majibu sahihi.

Sh 80,000.0

Availability: In stock

SKU ST05 Categories , ,

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Tripple-head Stethoscope”

Specify Facebook App ID and Secret in the Super Socializer > Social Login section in the admin panel for Facebook Login to work

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart
Muulize Dr. Adinan
1
Muulize Dr. Adinan
Chat na Dr. Adinan
Unaweza kupata Tripple-head Stethoscope leo. Nini ungependa kuuliza?