Pulse Oximeter: Kipimo cha Oxygen kwenye damu. Pulse oximeters (PO2) hutumika kupima kiwango cha hewa ya oxygen (O2) kilicho kwenye damu. LIcha ya kuwa kifaa muhimu kuwa nacho nyumbani, kimekuwa maarufu kipindi hiki cha COVID-19. Read More » 08/08/2021 No Comments