Full Recommended Medical SET (FRS) CAMPAIGN
👏KUWA MIONGONI MWA WANAFUNZI 50 WATAKAOJIPATIA Full RECOMMENDED MEDICAL SET Kwa punguzo la 20-25%🤝 ⚕️Katika fani za AFYA, kuwa na vifaa-tiba muhimu na vyenye ubora ni UTI wa MGONGO wa mafanikio yako! 🤔Wanafunzi 65%-70% katika fani za AFYA hawana idadi ya VIFAA TIBA vinavyoshauriwa! 🏥AFYATech imetenga SET 50 kuhakikisha tunawasaidia wanafunzi katika fani za AFYA