Kipimo Cha Presha: Kifaa 1 Kitakachokupa Amani
Kufika hapa maana yake ushafahamu kwamba hata wewe inawezekana una shinikizo la juu la damu (presha) bila kujua. Pia umeshafahamu kwamba kuna Njia moja tu ya kuweza kutambua kama unashinikizo la juu la damu (presha): kujipima tu!
Bila shaka umeshuhudia watu wengin wakifariki kutokana na shinikizo la damu (presha). Unajua kilichowauwa ni nini? Madhara ya presha. Je, unafikiri wangekuwa wanajua presha yao iko juu wangepata madhara ya ugonjwa huu? Yani namaanisha, kama wangekuwa wanapima na kukuta presha yao iko juu wangekaa bila kuchukua hatua?
Kama umejijibu HAPANA kama mimi maana yake tunakubaliana jambo moja muhimu! Kutokujua namba wastani wako wa presha ni kupoteza fursa muhimu kuzuia kiharusi, figo kufeli na madhara mengine ya presha.
Sababu ingine ambayo ni muhimu kuzingatia, presha inaweza kuwepo kwa muda mrefu bila kuonesha dalili. Hivyo wengi wamekuwa wakishtukizwa na kiharusi, matatizo ya moyo, figo na kutokuona nk. Kama nawe uko kama mimi kwamba unahitaji huduma ya kiafya mpaka uwe na dalili, basi hali ni mbaya!
UKWELI ni kwamba ugonjwa wa shinikizo la juu la damu na madhara yake yanazuilika na kudhibitika kama utachukua hatua stahiki mapema. Kufahamu uwiano wa presha yako ndiyo HATUA MUHIMU!

Tunakusaidia Kudhibiti Presha na Madhara Yake Kikamilifu
Kama unasoma hapa, una nia ya dhati ya kupambana na presha. Nasi tutakusaidia kutimiza lengo lako. Kupitia Dr. Adinan tumekuwa tukitoa elimu kupitia magroup ya WhatsApp. Yako Mawili, moja lilisha jaa.
Wakati huu tunakusaidi pia kupata vipimo sahihi vya presha. Wiki hii tunatoa offer ya Kipimo cha Presha. Tutakupatia kwa punguzo la TShs. 20,000/=. Lengo letu ni kuhakikisha tunakuwezesha wewe kufikia lengo lako la kuwa na afya bora.
ZIMEBAKI 16 TU!

Faida ya Kuwa na BP Machine
Faida utakayoipata kwa kuwa na kifaa hivi ni kama ifuatavyo
- Ukiwa utakitumia vifaa hivi utakuwa na uhakika wa afya yako na hivyo kuwa huru na msongo wa mawazo.
- Sasa utakuwa na raha na afya bora. Haya yanabainishwa na tafiti zilizofanywa na wengine pamoja na mimi pia.
- Kufanikiwa kudhibiti presha yako na kuepuka madhara yake mapema. Tafiti zimeonesha kwamba wanaochukua hatua wenyewe wanapata matokeo mazuri ya kiafya kuliko wale wanaokwenda hospitali tuu.

Tunaaminika
Tangu 2016. Tuna utaalamu wa Kutosha Kukusaidia kwenye magonjwa ya presha na kisukari

Ushauri Wa Kitaalamu
Tutakuelekeza namna ya kutumia na TUTAKUSHAURI wakati wote baada ya kununua kifaa HIKI.

Lipa baada ya Kupokea
Kuepuka WASIWASI wa KUTAPELIWA, utalipia mara baada ya kupokea na KURIDHIKA na vifaa ulivyoagiza

Pata Warranty
Pesa yako IMELINDWA. Kifaa kama hakifanyi kazi kama kilivyokusudiwa tunakubadilishia au tunakurudishia pesa
OFFER! Okoa TSh. 31,000/=
Pata BP Machine Kwa TSh. 89,000/=
ZIMEBAKI 16 TU!







