Kipimo Cha Presha: Kifaa 1 Kitakachokupa Amani

Kufika hapa maana yake ushafahamu kwamba hata wewe inawezekana una shinikizo la juu la damu (presha) bila kujua. Pia umeshafahamu kwamba kuna Njia moja tu ya kuweza kutambua kama unashinikizo la juu la damu (presha): kujipima tu!

Bila shaka umeshuhudia watu wengin wakifariki kutokana na shinikizo la damu (presha). Unajua kilichowauwa ni nini? Madhara ya presha. Je, unafikiri wangekuwa wanajua presha yao iko juu wangepata madhara ya ugonjwa huu? Yani namaanisha, kama wangekuwa wanapima na kukuta presha yao iko juu wangekaa bila kuchukua hatua?

Kama umejijibu HAPANA kama mimi maana yake tunakubaliana jambo moja muhimu! Kutokujua namba wastani wako wa presha ni kupoteza fursa muhimu kuzuia kiharusi, figo kufeli na madhara mengine ya presha. 

Sababu ingine ambayo ni muhimu kuzingatia, presha inaweza kuwepo kwa muda mrefu bila kuonesha dalili. Hivyo wengi wamekuwa wakishtukizwa na kiharusi, matatizo ya moyo, figo na kutokuona nk. Kama nawe uko kama mimi kwamba unahitaji huduma ya kiafya mpaka uwe na dalili, basi hali ni mbaya! 

UKWELI ni kwamba ugonjwa wa shinikizo la juu la damu na madhara yake yanazuilika na kudhibitika kama utachukua hatua stahiki mapema. Kufahamu uwiano wa presha yako ndiyo HATUA MUHIMU!

Kipimo cha Presha cha digitali

Tunakusaidia Kudhibiti Presha na Madhara Yake Kikamilifu

Kama unasoma hapa, una nia ya dhati ya kupambana na presha. Nasi tutakusaidia kutimiza lengo lako. Kupitia Dr. Adinan tumekuwa tukitoa elimu kupitia magroup ya WhatsApp. Yako Mawili, moja lilisha jaa.

Wakati huu tunakusaidi pia kupata vipimo sahihi vya presha. Wiki hii tunatoa offer ya Kipimo cha Presha. Tutakupatia kwa punguzo la TShs. 20,000/=. Lengo letu ni kuhakikisha tunakuwezesha wewe kufikia lengo lako la kuwa na afya bora. 

ZIMEBAKI 16 TU!

Kipimo cha Presha cha digitali

Faida ya Kuwa na BP Machine

Faida utakayoipata kwa kuwa na kifaa hivi ni kama ifuatavyo

  1. Ukiwa utakitumia vifaa hivi utakuwa na uhakika wa afya yako na hivyo kuwa huru na msongo wa mawazo.
  2. Sasa utakuwa na raha na afya bora. Haya yanabainishwa na tafiti zilizofanywa na wengine pamoja na mimi pia.
  3. Kufanikiwa kudhibiti presha yako na kuepuka madhara yake mapema. Tafiti zimeonesha kwamba wanaochukua hatua wenyewe wanapata matokeo mazuri ya kiafya kuliko wale wanaokwenda hospitali tuu.
silhouette, businessman, arms-3063375.jpg

Tunaaminika

Tangu 2016. Tuna utaalamu wa Kutosha Kukusaidia kwenye magonjwa ya presha na kisukari

hands, help, pull-2715976.jpg

Ushauri Wa Kitaalamu

Tutakuelekeza namna ya kutumia na TUTAKUSHAURI wakati wote baada ya kununua kifaa HIKI.

Lipa baada kupokea kifaa tiba ulichoagiza-HES

Lipa baada ya Kupokea

Kuepuka WASIWASI wa KUTAPELIWA, utalipia mara baada ya kupokea na KURIDHIKA na vifaa ulivyoagiza

Dhibiti kisukari nikuhakikishie utafurahi kwa 100%

Pata Warranty

Pesa yako IMELINDWA. Kifaa kama hakifanyi kazi kama kilivyokusudiwa tunakubadilishia au tunakurudishia pesa

OFFER! Okoa TSh. 31,000/=
Pata BP Machine Kwa TSh. 89,000/=

ZIMEBAKI 16 TU!

Kipimo Cha Presha: Kifaa 1 Kitakachokupa Amani

Kipimo cha Presha

𝐉𝐞, 𝐮𝐧𝐚𝐣𝐮𝐚 𝐤𝐰𝐚𝐦𝐛𝐚 𝐮𝐧𝐚𝐰𝐞𝐳𝐚 𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐧𝐚 𝐬𝐡𝐢𝐧𝐢𝐤𝐢𝐳𝐨 𝐥𝐚 𝐣𝐮𝐮 𝐥𝐚 𝐝𝐚𝐦𝐮 (Presha)? Ndiyo, wewe! Unaweza kuwa na presha bila kuonesha dalili!

𝐏𝐫𝐞𝐬𝐡𝐚 𝐧𝐢 𝐦𝐮𝐮𝐚𝐣𝐢 𝐰𝐚 𝐤𝐢𝐦𝐲𝐚 𝐤𝐢𝐦𝐲𝐚. Imeitwa hivi kwasababu haina dalili kama vile magonjwa mengine!

𝐖𝐚𝐭𝐮 𝟑𝟎 𝐤𝐚𝐭𝐢 𝐲𝐚 𝟏𝟎𝟎 𝐰𝐚𝐧𝐚 𝐩𝐫𝐞𝐬𝐡𝐚 𝐋𝐀𝐊𝐈𝐍𝐈 𝐰𝐚𝐭𝐮 𝟐𝟓 𝐡𝐚𝐰𝐚𝐟𝐚𝐡𝐚𝐦𝐮 𝐤𝐰𝐚𝐦𝐛𝐚 𝐰𝐚𝐧𝐚 𝐮𝐠𝐨𝐧𝐣𝐰𝐚 𝐡𝐮𝐮! Ulikuwa unafahamu kwamba watu wengi hivi hawafahamu hali yao ya presha kama inavyooneshwa na tafiti? Unaweza kujiuliza kufahamu kuna umuhimu gani!

𝐖𝐚𝐭𝐮 𝐰𝐞𝐧𝐠𝐢 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐨𝐠𝐮𝐧𝐝𝐮𝐥𝐢𝐤𝐚 𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐧𝐚 𝐩𝐫𝐞𝐬𝐡𝐚 𝐡𝐮𝐰𝐚 𝐭𝐚𝐲𝐚𝐫𝐢 𝐰𝐚𝐦𝐞𝐬𝐡𝐚𝐩𝐚𝐭𝐚 𝐦𝐚𝐝𝐡𝐚𝐫𝐚 𝐲𝐚 𝐮𝐠𝐨𝐧𝐣𝐰𝐚 𝐡𝐮𝐮 𝐡𝐚𝐭𝐚𝐫𝐢 𝐧𝐚 𝐮𝐧𝐚𝐨𝐳𝐢𝐝𝐢. Kwasababu presha haina dalili watu wengi wamekuwa wakichelewa kutafuta tiba na hivyo kupata athari za ugonjwa huu kama kiharusi, matatizo ya moyo, kufeli figo nk. Vipi unaweza kuepuka changamoto hii?

𝐓𝐚𝐟𝐢𝐭𝐢 𝐳𝐢𝐦𝐞𝐭𝐡𝐢𝐛𝐢𝐭𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐤𝐰𝐚𝐦𝐛𝐚 𝐏𝐫𝐞𝐬𝐡𝐚 𝐧𝐢 𝐮𝐠𝐨𝐧𝐣𝐰𝐚 𝐮𝐧𝐚𝐨𝐭𝐢𝐛𝐢𝐤𝐚 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐮𝐤𝐢𝐭𝐚𝐦𝐛𝐮𝐥𝐢𝐤𝐚 𝐦𝐚𝐩𝐞𝐦𝐚 𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐜𝐡𝐮𝐤𝐮𝐚 𝐡𝐚𝐭𝐮𝐚 𝐬𝐭𝐚𝐡𝐢𝐤𝐢. Lakini kuna changamoto ambayo HES tumekuja kuitatua.

𝐊𝐣𝐢𝐩𝐢𝐦𝐚 𝐭𝐮 𝐧𝐝𝐢𝐲𝐨 𝐧𝐣𝐢𝐚 𝐩𝐞𝐤𝐞𝐞 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐟𝐚𝐡𝐚𝐦𝐮 𝐡𝐚𝐥𝐢 𝐲𝐚𝐤𝐨 𝐲𝐚 𝐩𝐫𝐞𝐬𝐡𝐚. Presha haiumi! Njia moja tu ya kuweza kutambua kama una presha: kujipima tu! Hatahivyo changamoto inakuja kwenye kudhibiti presha baada ya kujipima.

𝐓𝐮𝐦𝐞𝐤𝐮𝐣𝐚 𝐧𝐚 𝐮𝐟𝐮𝐦𝐛𝐮𝐳𝐢 𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐤𝐮𝐬𝐚𝐢𝐝𝐢𝐚 𝐤𝐮𝐰𝐞𝐳𝐚 𝐤𝐮𝐭𝐚𝐦𝐛𝐮𝐚 𝐡𝐚𝐥𝐢 𝐲𝐚𝐤𝐨 𝐲𝐚 𝐩𝐫𝐞𝐬𝐡𝐚 𝐦𝐚𝐩𝐞𝐦𝐚 𝐭𝐞𝐧𝐚 𝐔𝐊𝐈𝐖𝐀 𝐧𝐲𝐮𝐦𝐛𝐚𝐧𝐢.

Kipimo cha Presha
Kipimo cha Presha cha digitali

Faida ya Kuwa na BP Machine

Faida ya kuwa na vifaa hivi, yani faida kwako.

  1. Ukiwa na BP Machine utakuwa na uhakika wa afya yako na hivyo kuwa huru na msongo wa mawazo.
  2. Sasa utakuwa na raha na afya bora. Haya yanabainishwa na tafiti zilizofanywa na wengine pamoja na mimi pia.
  3. Kufanikiwa kudhibiti magonjwa haya na kuepuka madhara mapema. Tafiti zimeonesha kwamba wanaochukua hatua wenyewe wanapata matokeo mazuri ya kiafya kuliko wale wanaokwenda hospitali tuu.
silhouette, businessman, arms-3063375.jpg

Tunaaminika

Tangu 2016. Tuna utaalamu wa Kutosha Kukusaidia kwenye magonjwa ya presha na kisukari

hands, help, pull-2715976.jpg

Ushauri Wa Kitaalamu

Tutakuelekeza namna ya kutumia na TUTAKUSHAURI wakati wote baada ya kununua kifaa HIKI.

Lipa baada kupokea kifaa tiba ulichoagiza-HES

Lipa baada ya Kupokea

Kuepuka WASIWASI wa KUTAPELIWA, utalipia mara baada ya kupokea na KURIDHIKA na vifaa ulivyoagiza

Dhibiti kisukari nikuhakikishie utafurahi kwa 100%

Pata Warranty

Pesa yako IMELINDWA. Kifaa kama hakifanyi kazi kama kilivyokusudiwa tunakubadilishia au tunakurudishia pesa

Kuanzia Leo Ishi kwa Amani bila Hofu Huku Ukiwa Unafahamu Hali Yako Ya Kiafya Kwa Uhakika. Agiza Vifaa Hivi Leo! Offer ni Ya Muda Mfupi!

Tafadhali Sambaza Ujumbe huu
Facebook
Twitter
WhatsApp
Shopping Cart
Muulize Dr. Adinan
1
Muulize Dr. Adinan
Chat na Dr. Adinan
Hello 👋.
Ungependa kuuliza nini kuhusu kipimo cha presha kifaa 1 kitakachokupa amani?
Mimi ni Dr. Adinan