Utumie aina gani ya kipimo cha presha?
Umuhimu wa kupima presha ni upi? Ni kipimo gani cha presha ambacho ni sahihi zaidi? Je, nipime shinikizo la damu
Umuhimu wa kupima presha ni upi? Ni kipimo gani cha presha ambacho ni sahihi zaidi? Je, nipime shinikizo la damu
Vyakula huathiri vipi ugonjwa wa kisukari? Aina ya chakula unachokula kinaweza kuathiri kiwango cha sukari kwenye damu yako. Vyakula
Madhara ya Kisukari: Kinywa na Meno Ugonjwa wa Kisukari husababisha kiwango cha sukari kuwepo kwa wingi katika damu na hivyo
Ugonjwa wa kisukari husababisha ugonjwa wa figo kwa namna mbili na kusababisha figo kufeli. Unaweza usihisi dalili mpaka pale madhara yanapokuwa makubwa. Hatahivyo, unaweza kuepuka madhara yote haya. Tafadhali soma kufahamu zaidi…
Ugonjwa wa Figo: Namna 2 Kisukari huaribu figo na unavyoweza kuepuka! Read Post »
Ukubwa wa tatizo la Magonjwa ya Moyo Watu Milioni 18 hufariki kwa magonjwa ya moyo kila mwaka, hizi ni takwimu
Fahamu Kisukari Kinavyosababisha Ugonjwa wa Moyo Read Post »
Kisukari huathiri mishipa ya fahamu. Hatahivyo unaweza kuepuka kwa kufanya yaliyoshauriwa kwenye makala haya. Kisukari huweza kuleta uharibifu wa aina
Madhara ya kisukari: Uharibifu wa mishipa ya fahamu Read Post »
Kuwa na vifaa ni sawasawa na MAFANIKIO kwa mafunzo ya udaktari. Wengi wa wanafunzi huwa hawafahamu aina ya vifaa wanavyotakiwa kuwa navyo na hata UBORA. Hivyo wengi wamejikuta wakinunua eidha vifaa VINGI au VICHACHE au VISIVYOHITAJIKA…na Mbaya zaidi, VINAVYOHARIBIKA muda mchache baada ya kununua…
Kuwa Mtaalamu Bora Wa Afya! Fahamu Vifaa vya Mafunzo Kozi Za Afya Read Post »
Ungependa kufahamu kwanini presha huitwa muuaji wa kimya kimya au kufahamu namna ya kujikinga? Tafadhali soma maswali haya?Presha inaua kimya kimya na kusababisha vilema vya maisha ukiachilia mbali kusababisha umasikini.
Makala inafafanua presha ya kushuka, dalili zake, sababu, huduma ya kwanza, na ushauri wa kuepuka kudhibiti hali hii.
Presha Ya Kushuka: Sababu, Dalili, Athari, na Tiba Read Post »
Kama unafanya jitihada kuboresha afya yako kwa kupunguza uzito, ningependaa nikupe ushauri maalum ili ufanikiwe. Kama unajipima mara kwa mara