kipimo cha presha kifaa 1 kitakachokupa amani
Kipimo Cha Presha: Kifaa 1 Kitakachokupa Amani Kufika hapa maana yake ushafahamu kwamba hata wewe inawezekana una shinikizo la juu
Kipimo Cha Presha: Kifaa 1 Kitakachokupa Amani Kufika hapa maana yake ushafahamu kwamba hata wewe inawezekana una shinikizo la juu
Kuna Njia moja tu ya kuweza kutambua kama unashinikizo la juu la damu (presha) na kisukari: kujipima tu! Watu wengi
Dhibiti Kisukari Na Presha: Vifaa 3 Muhimu Kuwa Navyo Nyumbani Read Post »
Unafahamu vyakula kwa mgonjwa wa presha? Vyakula hivi husaidia watu kudhibiti na kuepuka madhara ya presha. Tafadhali, bonyeza link kufahamu vyakula vya kushusha presha kwa kiwango cha 12-14mmHg.
Kuna Njia moja tu ya kuweza kutambua kama unashinikizo la juu la damu (presha) na kisukari: kujipima tu! Watu wengi
Dhibiti Kisukari Na Presha: Kuwa na Amani Kwa Kuwa na Vifaa 2 Muhimu Read Post »
Fikiri uko kwenye mapumziko ya weekend unakumbuka unahitaji kifaa fulani, unapanga kwenda kukifuata dukani mara mvua nayo inaanza…au umekumbuka kuhusu
Kisukari kinasababisha vifo na ulemavu kwa watu wengi. Kwa kufanya vipimo hivi, unaweza kudhibiti Kisukari na kuepuka madhara yake kwa kuifanyia tathmini afya yako na kuchukua hatua stahiki mapema. Tafadhali soma kufahamu vipimo muhimu
Pulse oximeters (PO2) hutumika kupima kiwango cha hewa ya oxygen (O2) kilicho kwenye damu. LIcha ya kuwa kifaa muhimu kuwa nacho nyumbani, kimekuwa maarufu kipindi hiki cha COVID-19.
Watu wengi walio na ugonjwa wa sukari mwishowe watakuwa na shinikizo la damu, pamoja na shida zingine za moyo na mishipa ya damu.
Fahamu sababu na namna ya kuepuka hali hii.
Nini maana ya “mawimbi”? Neno “wimbi” linatokana na kuzuka kwa 1889-92 ambayo ilikuwa na awamu tofauti ambazo zinapaswa kutokea kwa
Wimbi ni muongezeko wa idadi kubwa ya watu walioambukizwa ugonjwa. Wimbi huweza kutokea kipindi chochote cha makabiliano dhidi ya mlipuko wa ugonjwa wa kuambukiza.
Si lazima kupata wimbi. Kupata wimbi ni chaguo.