Fikiri uko kwenye mapumziko ya weekend unakumbuka unahitaji kifaa fulani, unapanga kwenda kukifuata dukani mara mvua nayo inaanza…au umekumbuka kuhusu kifaa hich ukiwa unajivinjari sehemu…Sasa tunakuambia, endelea na mapumziko yako au kazi zako! Huduma zetu zimekufuata ulipo. Naam!

Kwa kutumia website yetu sasa unaweza kupata huduma zote muhimu na faida juu. 

Lakini nitanabahishe kwamba hata ukiweka oda online utaweza kulipa baada ya kupokea kifaa!

Faida ni zipi?

Faida kuu tano (5) za kuweka oda online

1-Endelea na shughuli zako: Huna haja ya kuacha shughuli zako kuja dukani;

2-Unafuu wa gharama: Ukiweka oda online kati ya saa 2 hadi saa 4 asubuhi unapata punguzo hadi la 20,000/=;

3- Usalama wa kifaa: sasa uko kwenye kumbukumbu zetu, hata kifaa kikaleta shida, maramoja tunakubadilishia. Kumbuka risiti hufutika kama si kupotea.

4- Save pesa: Pata punguzo kwenye manunuzi mengine utakayofanya – utapunguziwa bei kati ya 10%-20% kama utakuwa mteja ambaye tuna kumbukumbu zako.

5-Kuwa huru kuchagua kifaa: website ni sehemu moja utakayoona vifaa vyote na bei zake kwa wakati mmoja.

Shopping Cart
Muulize Dr. Adinan
1
Muulize Dr. Adinan
Chat na Dr. Adinan
Hello 👋.
Ungependa kuuliza nini kuhusu Faida 5 za kuweka oda yako kwenye website yetu?
Mimi ni Dr. Adinan